Benki ya NCBA yasherehekea siku ya wanawake duniani | Tarimo Blog

 



 
Caroline Mbaga, Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Uraia wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

Joyce Ndyetabura, Mkuu wa Biashara wa Benki ya NCBA, akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

 
Rosemary Ihadike, Meneja mahusiano, bima na masuluhisho wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleoi dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

 
Godson Muro, Meneja wa Operesheni za Mikopo wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

 
Meshack Massawe, afisa usimamizi wa biashara wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

Sudi Koshuma, Meneja msaidi wa mirejesho ya mikopo wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

Judith Warioba, Mkuu wa taasisi wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

Margaret Karume, Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.




Gloria Njiu, Mkuu wa Biashara za Kidijitali wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.


Rahim Kanji, Mkuu wa kitengo cha biashara rejareja na bima wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.

 




Zainab Mushi, Mkuu wa Rasilimali watu wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi.
 

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2