Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na wajasiriamali wakati alipowasili katika siku ya uwezeshaji wajasiriamali wanawake wa Mkoani Mbeya leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimuwezesha mjasiriamali kupitia taasisi yake ya Tulia Trust tukio lililofanyika leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Rashid Chuachua na Mkuu wa Kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania, Ndg. Benoit Araman (wapili kushoto)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimuwezesha Mjasiriamali kutoka Kyela Ndg. Amina Bakari kupitia taasisi yake ya Tulia Trust tukio lililofanyika leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601, Wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Rashid Chuachua
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wajasiriamali wanawake kabla ya kuwawezesha kupitia taasisi yake ya Tulia Trust tukio lililofanyika leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania, Ndg. Benoit Araman wakati wa siku ya kuwawezesha wajasiriamali wanawake wa Mkoani Mbeya leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania, Ndg. Benoit Araman wakati wa siku ya kuwawezesha wajasiriamali wanawake wa Mkoani Mbeya
leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akikagua mabanda ya wajasiriamali wanawake wa Mkoa wa Mbeya katika shindano la kumtafuta mjasiriamali anaepika vizuri kabla ya kuwawezesha wajasiriamali hao kupitia taasisi yake ya Tulia Trust tukio lililofanyika leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601
Wajasiriamali wanawake wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) akizungumza kabla ya kuwawezesha kupitia taasisi yake ya Tulia Trust tukio lililofanyika leo Machi 5, 2022 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 78.1 zilitolewa kwa wajasiriamali hao wapatao 601
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment