NAIBU WAZIRI SAGINI AZINDUA MASHINE YA KIELETRONIKI YA UKUSANYAJI WA MADUHULI YA SERIKALI YATOKANAYO NA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI | Tarimo Blog

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akizundua mashine ya kielektroniki ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na makosa ya usalama barabarani katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 27, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na wapili kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akionyesha mashine ya kielektroniki ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na makosa ya usalama barabarani baada ya kuizindua katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 27, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na wapili kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akizungumza na viongozi wa Jeshi la Polisi, Maafisa mbalimbali wa Wizara yake (hawapo pichani) baada ya uzinduzi wa mashine ya kielektroniki ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na makosa ya usalama barabarani katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 27, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini (katikati), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, alipokuwa akizungumza katika haflaya uzinduzi wa mashine ya kielektroniki ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na makosa ya usalama barabarani iliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 27, 2022. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mashine ya kielektroniki ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na makosa ya usalama barabarani iliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 27, 2022. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, na wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akionyesha mashine ya kielektroniki ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na makosa ya usalama barabarani baada ya kuizindua katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 27, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na wapili kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2