RAIS MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI KAZI CHA RAIS SAMIA IKULU ZANZIBAR | Tarimo Blog

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.(Picha na Ikulu)
/WAJUMBE wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania kikiongozwa na Mwenyekiti wake Professa Rwekaza Mukandala.(hayupo pichani) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)

MWENYEKITI wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania Profesa Rwekaza Mukandala akizungumza na kutowa maelezo wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-4-2022.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wajumbe hao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-4-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.(Picha na Ikulu)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2