KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AHESABIWA SENSA YA WATU NA MAKAZI | Tarimo Blog

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akifurahia jambo mara baada ya kuhesabiwa na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Faith Buruhani  (kushoto) kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Faith Buruhani  (kushoto) wakati wa kuhesabiwa kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2