TAWA WATUMIA ZAIDI YA MILIONI 34 KATIKA MAENDELEO YA MAENEO YANAYOHIFADHI UTALII | Tarimo Blog

JUMLA ya shilingi 340,301,000 imetumika katika ujenzi wa madarasa na vyoo katika shule 10, Vituo vya afya 3, kujenga Visima vya maji 14, kujenga mabwawa ya uvuvi mawili, zakarabati soko la samaki na kusaidia vikundi katika shughuli zao.

Fedha hizo ni kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ilisaidia katika Maendeleo katika maeneo Mbalimbali ambayo yanahifadhi utalii katika maeneo yao.

Maeneo yaliyonufaika na msaada huo ni Kondoa Idindiri, Mauno, Bomangombe na Ihari. Maeneo mengine ni Kibondo, Kaliua, Bunda, Kilwa, Kilwa Masasi Njinjo Napacho na Masuguru.






Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2