Nida yatoa upya utaratibu wa kupata namba ya kitambulisho cha taifa

Wakati watanzania wengi wakiwa na changamoto ya kupata namba ya utambulisho wa taifa (NIN), mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) imewarahisishia kwa kuweka utaratibu mpya wa kupata namba ya utambulisho wa taifa kwa njia ya mtandao.
taarifa iliyotolewa na NIDA jumatanoya tarehe 25 September 2019 kupitia kitengo cha mawasiliano na hifadhi hati ilisema kwamba namba hiyo sasa imeanza kutolewa kupitia tovuti ya mamlaka hiyo kwa mwombaji kupitia
NAMBA YA UTAMBULISHO WA TAIFA
Taarifa ya NIDA ilibainisha kwamba huduma hiyo itawarahisishia waliosajili kuomba vitambulisho vya taifa kupata NIN bila kwenda ofisi za mamlaka hiyo.
Hatua kufuata kupata NIN tembelea tovuti ya NIDA http://nida.go.tz/swahili/

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2