Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akikagua ujenzi wa Zahanati iliyojengwa hadi hatua ya boma kwa nguvu za wananchi wa kijiji cha Tinaga Kata ya Kilangi wilayani Ngorongoro.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Tinaga Kata ya Kilangi wilayani Ngorongoro kuhimiza shughuli za maendeleo na utekelezaji wa ahadi ya serikali ya awamu ya tano,kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro,Rashid Taka.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akiongoza maafisa waandamizi wa serikali ngazi ya mkoa na wilaya ya Ngorongoro katika kijiji cha Tinaga Kata ya Kilangi kuhimiza shughuli za maendeleo na utekelezaji wa ahadi ya serikali ya awamu ya tano.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Samunge wilayani Ngorongoro katika ziara yake.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment