DC DAQARRO AWATAKA HALMASHAURI KUHAKIKISHA JENGO LA MRADI WA MAMA NA MTOTO LINAKAMILIKA NDANI YA MUDA ULIOPANGWA Inbox x | Tarimo Blog


Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akiwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Dkt.Maulid Madeni wakipata Maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Maduka kutoka kwa Mchumi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Mathias Shindika kuhusu ujenzi wa Maduka kwenye Kata ya Levolosi jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akiwa na kamati ya ulinzi na Usalama wakielekea Shule ya Sekondari Moivaro kunakojengwa madarasa manne ikiwa ni utekelezaji wa ujenzi wa Ghorofa nne unaotekelezwa na halmashauri ya Jiji la Arusha .

Safari ikiendelea ya ziara ya Mkuu wa wilaya kutembelea Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na halmashauri ya Jiji la Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Msafara Kuelekea shule ya Sekondari Moivaro

Mkuu wa wilaya ya Arusha akipata maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Madarasa Manne kutoka kwa Kaimu mhandisi wa Jiji la Arusha Samwel Mshuza

Samweli Mshuza Kaimu mhandisi akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Madarasa shule ya Sekondari Baraa

Maelezo ya Mradi yakiendelea
Ukaguzi ukiendelea wa Mradi wa Ujenzi wa Madarasa shule ya Sekondari Baraa kata ya Baraa jijini Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akitembelea kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Moivaro kata ya Baraa jijini Arusha

Sehemu ya muonekano wa kata ya Baraa jijini Arusha ilipigwa kutoka juu wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo kwa Jiji la Arusha

Mkuu wa wilaya akiwasili kwenye Kituo Cha Zahanati ya Kata ya Baraa leo jijini Arusha wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo ndani ya Jiji hilo

Kaimu Mhandisi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Samwel Mshuza akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Zahanati ya Baraa picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Mtendaji wa Kata ya Baraa Anna Ledisa akitoa maelezo akiwa na kaimu Mhandisi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Samwel Mshuza

Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akiwa na Mkurugenzi wakipata ufafanuzi kutoka kwa Mhandisi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Samwel Mshuza leo kwenye Zahanati ya Baraa
Sehemu ya ukaguzi wa Zahanati ya Baraa
Muonekano wa Zahanati ya Baraa
Ukaguzi wa Hospitali ya wilaya jengo la Mama na mtoto
Muonekano wa vyoo kwenye Zahanati ya Baraa

Sehemu ya vyoo vya Zahanati ya Baraa

Dc Daqarro akipata maelezo ya Ujenzi wa Zahanati ya Baraa sehemu ya majitaka Leo jijini Arusha
Kuwasili Hospital ya wilaya kukagua Ujenzi wa jengo la mama na mtoto hapa ni sehemu ya jengo la Mapokezi la hospitali ya wilaya

Mkuu wilaya ya Arusha Fabian Daqarro alipowasili kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha Leo jijini Arusha
Sehemu ya Jengo la mama na mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha kama lilivyokutwa na kamera ya matukio Leo jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Kuwasili hospitali ya wilaya

Ukaguzi ukiendelea Jengo la Mama na mtoto kwenye hospital ya wilaya ya Arusha
Sehemu ya Jengo la Mama na mtoto kama linavyoonekana leo jijini Arusha

Muonekano wa Jengo la Mama na Mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha Leo jijini Arusha
Muonekano wa Jengo la Mapokezi kwa nyuma kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi iliyofanywa na Mkuu wa wilaya ya Arusha Leo jijini hapa.
Mkuu wa wilaya ya Arusha akifuatana na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha wakishuka eneo la Juu kwenye Jengo la Mama na Mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha Leo jijini Arusha.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akiongea na waandishi wa habari Mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha

Muonekano wa majengo ya Maduka ya halmashauri ya Jiji la Arusha

Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro baada ya kuwasili kwenye Ujenzi wa Maduka eneo la Krokoni jijini hapa Leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Muonekano wa maduka kwenye eneo la Krokoni

Dc akiwa na Mkurugenzi wakikagua chumba Cha Dukq eneo la Krokoni jijini Arusha leo
Dc.Daqarro akipata maelezo kutoka kwa mchumi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Mathias Shindika mwenye makabrasha mkononi akiwa na Kaim mhandisi wa Jiji la Arusha Samweli Mshuza leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akitoa maelekezo wakati alipotembelea Ujenzi wa maduka eneo la Krokoni jijini Arusha leo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2