TUJIKINGE,TUJILINDE NA TUWALNDE WENGINE DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UGONJWA CORONA (COVID-19). | Tarimo Blog

Wakati serikali ikihamasisha suala la usafi hasa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni sambamba na uvaaji wa Barakoa (Mask),Lakini bado baadhi ya wananchi  hawalichukulii kwa uzito suala hilo ili kupambana na maambuzi ya ugonjwa wa Corona unaosababishwa na virusi vya COVID 19. Pichani ni waendesha pikipiki almaarufu Bodaboda wakiosha pikipiki zao katika dimbwi la maji lililopo Mtaa wa Majengo - Mbezi kwa Msuguli,hali ambayo inanahatarisha usalama wa afya zao na Wengine. Picha na Cathbert Kajuna -Michuzi TV.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2