RAIS DKT. MAGUFULI AMPANDISHA CHEO MKUU WA JKT, MEJA JENERALI CHARLES MBUGE | Tarimo Blog

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya, Meja Jenerali Charles Mbuge, baada ya kupandishwa cheo leo tarehe 3 Jun 2020 Makao Makuu ya JWTZ ya Muda yaliyopo Msalato Jijini Dodoma.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance akimpongeza Meja Jenerali Charles Mbuge muda mfupi baada ya kumvalisha cheo kipya cha Meja Jenerali, leo tarehe 3 Jun 2020 Makao Makuu ya JWTZ ya Muda yaliyopo Msalato Jijini Dodoma.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2