BASHUNGWA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KARAGWE | Tarimo Blog

.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akisikiliza maelekezo ya uchaguzi baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020. (Picha na Eliud Rwechungura).
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe akitoa maelekezo ya Uchaguzi baada ya kutoa fomu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa mgombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Agosti 21, 2020


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2