Mkurugenzi wa Mawasiliano na Jamii Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) (DAWASA) Neli Msuya akizungumza na viongozi wa Kamati na Jumuiya za watumia maji za jijini Dar es Salaam wakati wa Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa/ halmashauri na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam. Miradi hii iko pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam(Off-Grid).
Meneja wa Usafi wa Mazingira kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) Eng. Charles Makoye akitoa semina kuhusu namna ya uendeshaji wa miradi kwenye kata na mitaa wakati wa Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Meneja wa miradi ya Majisafi ya jamii kutoka DAWASA, Eng. Lilian Masilago akitoa mada kwa viongozi wa Kamati na Jumuiya za watumia maji za jijini Dar es Salaam kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa Kamati na Jumuiya za watumia maji wakiuliza maswali pamoja na kuchangia mada wakati wa kikao Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa/ halmashauri na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa Kamati na Jumuiya za watumia maji wa Jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na maofisa wa DAWASA wakati wa kikao Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa/ halmashauri na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment