Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul- Razaq Badru (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR) Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) wakati alipofika katika Ofisi za HESLB Jijini Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akizungumza jambo wakati wa mazungumzo yake na Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR) Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (katikati) wakati alipofika katika Ofisi za HESLB Jijini Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar. Kushoto ni Afisa kutoka Idara ya Muungano (OMR) Cecilia Nkwamu.


(PICHA NA HESLB)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment