Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi John Kijazi (pichani) kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Uteuzi huo umeanza leo Agosti 21, 2020, akichukua nafasi ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment