Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Sokoni, Holili wilayani Rombo
Wananchi wa Rombo wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Sokoni, Holili wilayani Rombo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa soko la Holili wilayani Rombo, Septemba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment