MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI - TARAFA YA ILONGERO | Tarimo Blog

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza, aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Kaskazini, Frank Petro, baada ya kuhamia rasmi Chama cha Mapinduzi, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa mkono, aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Kaskazini, Frank Petro, baada ya kuhamia rasmi Chama cha Mapinduzi, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. Kutoka kulia ni mdogo wa Frank, Daniel Petro na Mke wa Frank, Bitrina Ibrahim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa Kata ya Ilongero, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Wananchi wa Kata ya Ilongero, wakimshangilia  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2