Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mbunge Mteule wa Jimbo la Nyasa Eng. Stela Manyanya alipowasili katika Uwanja wa Taifa wa Kijiji cha Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 17,2020.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Taifa Liuli na Mbambabay Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma leo Septemba 17,2020.
Wasanii wa ngoma ya Mganda ya Utamaduni wa asili ya Wanyasa Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma wakiburudisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa wakati wa kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipowasili katika Uwanja wa Taifa kijiji cha Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 17,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Nyasa mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Taifa Liuli Wilaya Nyasa Mkoani Ruvuma leo Septemba 17,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Nyasa Eng. Stela Manyanya kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa katika Viwanja vya Mbambabay Wilaya Nyasa Mkoani Ruvuma leo Septemba 17,2020.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment