Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Rais Dkt. Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nyamirembe, Kashalunga na Muleba mkoani Kagera | Tarimo Blog

 







Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Muleba mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Muleba mjini leo tarehe 15 Septemba 2020.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyamyorwa Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020 katika Mikutano ya Kampeni za CCM





Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kashalunga Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020 katika Mikutano ya Kampeni za CCM.


Wananchi wa Nyambirembe na Kashalunga Muleba mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika maeneo hayo kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 15 Septemba 2020

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamirembe Chato mkoani Geita,




Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2