Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Madaba katika Kijiji cha Mtyangimbole na Limbuka kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Wilaya kijiji cha Limbuka Songea Mkoani Ruvuma leo Septemba 15, 2020.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Madaba Wilayani Songea wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Wilaya Kijiji cha Madaba Songea Mkoani Ruvuma leo Septemba 15, 2020.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment