Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala naRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakihutubia katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vyaGymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Wasani wa TMK wakiwa na alama kuu za CCM bnaada ya kutumbuizakwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leoSeptemba 16, 2020Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti waChama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Bukoba mjini na Waziri waMaliasili na Utalii Mstaafu Balozi Khamis Juma Suedi Kagashekiakimnadi Bw. Stephen Byabato (aliyejishika mikono) kugombea ubunge wajimbo hilo huku Meya Mstaafu wa Manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani(kulia) akingoja kufanya hivyo katika viwanja vya Gymkhana mjiniBukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti waChama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Bukoba VijijiniMhe. Jason Rweikiza huku wabunge wateule wa CCM Viti maalum wakingojazamu zao baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katikamkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leoJumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiyeMwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwamaelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vyaGymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti waChama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiongoza sala ya kuombea wanafunzi 10 waliofarikina wengine kujeruhiwa kwa ajali ya moto katika Shule ya Msingi IslamicByamungu iliyopo kata yaIrera Wilayani Kyerwa mkoani Kagera iliyotokeamajuzi kabla ya kuanza kwa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vyaGymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment