Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuhutubia wananchi katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Sengerema.
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Sengerema katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya mnadani Sengerema mkoani Mwanza leo
Sehemu ya Wananchi wa Sengerema waliohudhuria mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika viwanja vya mnadani Sengerema mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Usagara na Misungwi mkoani Mwanza wakataki akielekea Sengerema kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa Sengerema kwa Tiketi ya CCM Hamis Tabasamu wakati akielekea kwenye mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM.
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nyahunge katika Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza katika mikutano ya Kampeni za CCM .
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Nzera mkoani Geita katika Mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM wakati akitokea Buchosa Sengerema mkoani Mwanza leo tarehe 8 Septemba, 2020.
Ni saa mbili asubuhi lakini maelfu yav wananchi wa jiji la Mwanza wamejipanga kandokando ya barabara maeneo mbalimbali ya jiji hilo kumuaga Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na kuagana na maelfu ya wananchi eneo la Misungwi mkoani Mwanza akiwa njiani kuelekea mkoa wa Geita
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment