Mgombea wa Urais KWA Tiketi CCM Rais Dkt. Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Chato | Tarimo Blog

 



Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Chato katika mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita.







Sehemu ya Wananchi waliofurika katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2