RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS. MUSEVENI WA UGANDA WATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUANZA RASMI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA | Tarimo Blog

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia sainiWaraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba laMafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. YoweriKaguta Museveni  alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagizakuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda)hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege
wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akifurahia jambo wakati wa hotuba ya  Rais wa Jamhuri yaUganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati wa sherehe fupi ya kutiasaini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa
Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania)iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akiongea baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea mbele ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na maafisa wa Uganda baada ya Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kuondoka kurejea nyumbani baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
Ngoma ya Rubirigi ya Kabila la Wasukuma wakitumbuiza wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais waJamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia saini Waraka waPamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafutakutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupiiliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili
Septemba 13, 2020







Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2