Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata akikata utepe kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya pili ya siku ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) itakayoedana na maonesho ya siku tatu kuanzia leo tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020
Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata akitoa hotuba yake kwa viongozi na Wanachama wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) waliofika kumsikiliza wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU yaliyoendana na maonesho ya Bidhaa za kilimo pamoja na mazao ya kilimo hicho kinachofanyika katika ushirika huo. Afisa huyo alimuwakilisha Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Chalinze
Mwenyekiti wa Bodi wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) Sadala Chacha kizungumza kuhusu historia ya ushirika huo ulioanzishwa mwaka 2002 pamoja na changamoto wanazozipata ndani na nje ya ushirika huo wakati wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU yaliyoendana na maonesho ya Bidhaa za kilimo pamoja na mazao ya kilimo hicho kinachofanyika katika ushirika huo.
Meneja wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) Victoria Olotu akizungumzia namna walivyoweza kufikia malengo na kuwaunganisha wanachama ndani ya miaka 18 toka chama hicho kimeanziswa hapa Tanzania wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU.
Wanachama wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) wakishangilia mara baada ya kuwasili kwa mgeni rasmi Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata aliyemwakilisha Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Chalinze katika uzinduzi wa maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU.
Meneja wa NMB tawi la Mlandizi, Ephata Pallangyo akiuzugumzia mikakati mbalimbali waliyoitumia kuwafikia Wanachama wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) kwa kuweza kuwapa mikopo pamoja na kuwafungulia akaunti namba kwa ajili ya kujiwekea akiba pale wakulima hao wanapouza mazao wakati uzinduzi wa maadhimisho ya siku tatu Ushiika huo uliopo wilayani Chalinze mkoani Pwani.
Afisa Matekelezo Muandamizi wa NHIF Pwani, Ivo Edward Ndukeki akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unavyowafikia na kuwapa elimu kuhsu umuhimu wa kazi hizo Wanachama wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) wakati uzinduzi wa maadhimisho ya siku tatu Ushiika huo uliopo wilayani Chalinze mkoani Pwani.
Meneja wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) Victoria Olotu akitolea ufafanuzi kwa Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata ambaye alimuwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze kuhusu baadhi ya samaki wanazofuga katika eneo hilo la CHAURU ilipokuwa anatembelea baadhi ya mabanda mbalimbali kwenye maonesho yatakayofanyika kwa siku tatu kuanzia leo.
Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata akitoa maoni yake kwenye baadhi ya mbegu zakilimo zinazotumiwa na wakulima mbalimbali hasa wa ushirika wa CHAUMA wakati wa maonesho ya siku tatu kuanzia leo tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020 yaliyofanyika katika eneo la Ushirika huo Bagamoyo mkoani Pwani.
Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata akimsikiliza Mratibu wa usambazaji wa teknolojia na mahusiano TARI-Dakawa, Fabiola Langa apokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu mbegu mbalimbali za mpunga zinazoweza kuinua kilimo na namna ya mkulima kuzitumia mbegu hizo wakati wa maonesho ya siku tatu kuanzia leo tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020 ikiwa ni maadhimisho ya miaka 18 ya kuanzishwa kwa Ushirika huo Chalinze mkoani Pwani.
Mwenyekiti wa kikundi cha Faraja Mbogamboga cha Chauru, Rose Y. Bakari akitoa maelezo kwa mgeni rasmi kuhsu kikundi hicho ninavyojikwamua kwa kulima mbogamboga katika eneo la Ushirika la CHAURU wakati wa kutembelea mabanda ya wanachama na wadau wa kilimo kwenye maadhimisho ya miaka 18 ya kuanzishwa kwa Ushirika huo Chalinze mkoani Pwani
Mwenyekiti wa The winners group, Winjuka Mashenene akifafanua kuhusu namna walivyojipanga kama vijana kuwekeza kweneye kilimo kwa Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata ambaye alimuwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze alipokuwa anatembelea baadhi ya mabanda mbalimbali kwenye maonesho yatakayofanyika kwa siku tatu kuanzia leo.
Meneja Ufundi wa Agricom Africa Ltd, Philipo William akitoa ufafanuzi kuhus kampuni hiyo inavyowakopesha na kutoa mikopo ya vifaa vya kilimovya kisasa kwa wakulima ili kuweza kufikia malengo waliyojiwekea wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya pili ya siku ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) itakayoedana na maonesho ya siku tatu kuanzia leo tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020
Afsa ugani wa Feedpro Emax, Hamisi Msonde akitolea ufafanuzi dawa ya kuuwa magugu wakati wa kilimo hasa cha mpunga wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU
Mgeni rasmi Afisa kilimo wa Chalinze Jovin Balagata akiwa kwenye picha za pamoja na viongozi, wanachama na wadau wa kilimo mara baada ya kuzindua maadhimisho ya siku tatu ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU).
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment