Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Umati wa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Nsimbo Katumba mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Ndui Stesheni Katumba Mkoani Katavi leo Octoba 08,2020.
Wasanii wa Bongo Flavour Ali Kiba, Abdul Nassib Dimond wakitumbiza kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika leo Octoba 08,2020 katika uwanja waCCM Azimio Mkoani Katavi ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Mpanda Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Jimbo la Mpanda Mjini Mkoani Katavi alipowasili katika Uwanja wa CCM Azimio kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 08,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la Nsimbo Mhe. Anna Richard kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano uliofanyika leo kwenye uwanja wa CCM Azimio Mpanda Mjini Mkoani Katavi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Mpanda Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa CCM Azimio Mkoani Katavi leo Octoba 08,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nsimbo Mpanda wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Ndui Stesheni Katumba Mkoani Katavi leo Octoba 08,2020.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment