Mkurugenzi wa Tigo, Simon Karikari pamoja na viongozi mbalimbali wa idara wakijibu na kutatua maswali ya wateja wa Tigo katika kituo cha huduma kwa wateja namba 100 , zoezi limefanyika leo katika wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa Tigo, Bw. Simon Karikari akipokea keki kutoka kwa Mwangaza Matotola, Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja kama ishara ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. |
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote. |
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote. |
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote. |
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote. |
KUTAZAMA TUKIO ZIMA ANGALIA HAPA CHINI
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment