RAIS DKT MAGUFULI AMWANDALIA MGENI WAKE RAIS WA MALAWI DKT CHAKWERA DHIFA YA KITAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM | Tarimo Blog



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera
wakiwasilli kwenye dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam katika Dhifa ya Kitaifa ambayo alimuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akigonganisha glasi na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake huyo Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.
Raisn Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakigonganisha glasi wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akongea wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake huyo Ikulu jijini Dar es salaam
usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakigonganisha glasi na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiwa
wamesimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa wakati wa dhifa
ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.



Wanamuziki wa Bendi ya Kilimanjaro “Wana Njenje” wakitoa burudani wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy ChakweraIkulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiongea
na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa
Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya dhifa
hiyo ya Kitaifa Oktoba 7, 2020.

PICHA NA IKULU

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2