ZIARA YA UKAGUZI KUELEKEA UCHAGUZI MKUUOKTOBA 2020 | Tarimo Blog







Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi, Dkt Mussa Ali Mussa yupo katika muendelezo wa ziara yake katika mikoa ya kusini ya kukagua maandalizi ya mpango kazi wa usimamizi wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, 2020.

Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi, Dkt Mussa Ali Mussa akiongea na wananchi wa Kijiji Cha Kitaya Kata ya Kitaya Wilaya ya Mtwara vijijini mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2