DAWASA YAADHIMISHA WIKI YA USAFI WA MAZINGIRA KWA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WANANCHI | Tarimo Blog

 

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Dar es salaam (DAWASA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa kata ya Vingunguti wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam. Katika maadhimisho hayo elimu kuhusu ya usafi wa mazingira,  matumizi bora ya choo yalitolewa kwa wananchi ili kupunguza athari za magonjwa ya kuhara na  mlipuko.
Afisa wa DAWASA akitoa elimu kuhusu ya usafi wa mazingira na matumizi bora ya choo yalitolewa watendaji wa kata ya Vingunguti ili kupunguza athari za magonjwa ya kuhara na  mlipuko wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam. 
 
Msanii Mguli wa mziki hapa Tanzania, Mrisho Mpoto akitoa burudani wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2