Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kalli aku Masanja akiwa amekalia kiti cha enzi utemi wa Wasukuma baada ya kusimikwa jana na Chifu Seni Wenceslau wa Kanadi ambaye pia ni Katibu wa Watemi, hafl iliyofanyika kwenye Makumbusho ya Utmaduni wa Kabila la Wasukuma Bujora.
Mtemi wa Kndi, wilayani Busega, Chifu Seni Wenceslaus akimvisha vazi la utemi Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kalli na kupewa na jina la Masanja jana hafla iliyofanyika kwenye Makumbusho ya Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Bujora jana.
Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kalli Masanja akionyesha vitu mbalimbali na badhi ya wazee na watemi kabla ya kusimikwa kuwa Mtemi wa Wasukuma na kuitwa jina la Masanaj au mkusanya watu.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment