DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR. | Tarimo Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk.Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.[Picha na Ikulu] 04/11/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk.Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.[Picha na Ikulu] 04/11/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Dk.Mwinyi Talib Haji baada ya kumuapisha kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.[Picha na Ikulu] 04/11/2020.






Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2