RAIS MWINYI ATEMBELEA GHALA LA MIZIGO SHIRIKA LA BANDARI SAATENI | Tarimo Blog



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Bandari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia Mizigo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofanya ziara maalum ya kikazi (kulia) Kaimu Mkurugenzi Ufundi Shirika la Bandari Salum Uddi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea ghala la kuhifadhia Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Shirika la Bandari la Zanzibar alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea ghala la Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2