Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji na Viongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji na Viongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,wakiwepo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd.Khamis Mussa Omar.[Picha na Ikulu
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment