Mjasiriamali akisubiri wateja wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. ambapo Bei ya Nyanya sado ni Shiling 5,000 na fungu ni 400.
(Picha na Emmanule Massaka wa Michuzi Tv)
Bei ya Mchele katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kama inavyo onekana katika picha.
Bei za bidhaa mbalimbali katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kamazinavyo onekana katika picha.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment