DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMESHIRIKI SWALA YA IJUMAA MASJID RAUDHA DARAJABOVU. | Tarimo Blog

 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akisikiliza Hutuba pamoja na Waumini mbali mbali iliyotolewa na Sheikh Ali Fakih Abdallah wakati aliposhiriki katika Swala ya Ijumaa Iliyoswaliwa leo katika masjid Raudhwa Darajabovu Wilaya ya Mjini Unguja .[Picha na Ikulu] 08/01/2021.

Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika  Swala ya Ijumaa wakisikiliza  Hutuba iliyotolewa na Sheikh Ali Fakih Abdallah katika  Masjid Raudhwa Darajabovu Wilaya ya Mjini Unguja ambapo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alishiriki nao katika swala hiyo leo.[Picha na Ikulu] 08/01/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia aliyesimama)  akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu  na kutoa nasaha zake  mara baada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika  Masjid  Raudhwa Darajabovu  Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 08/01/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  akifuatana na wasaidizi wake mara baada ya swala ya Ijumaa aliposhiriki pamoja na  Waumini wa Dini ya Kiislamu katika  Masjid  Raudhwa Darajabovu  Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 08/01/2021.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2