Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 10,2021 ameshiriki kwenye Hafla ya kupokezi ya Maandamano ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu Zanzibar katika Uwanja wa Mao tsung mjini Zanzibar.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment