RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AFUNGUA SKULI SEKONDARI YA HASNUU MAKAME KIBUTENI MKOA WA KUSINI UNGUJA. | Tarimo Blog

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuifungua Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman .(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwalimu wa Somo la Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame Kibuteni Mkoa waKusini Unguja na (kuia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Idrisa Muslim Hija, akitembelea Maabara ya Skuli hiyo baada ya kuifungua leo ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame Kibuteni, kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kushoto kwa Waziri) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaaf Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Katibu wa Baraza la Mapinduzi  na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi  Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.HemedvSuleiman Abdulla na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea majengo ya Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuifungua Skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said (kuia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Idara ya Sekondari Bi. Asia Iddi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Eng. Dkt. Idrisa Muslim Hija.(Picha na Ikulu)

 


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2