RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WAKURUGENZI WA MAKAMPUNI BINAFSI TANZANIA IKULU LEO. | Tarimo Blog

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Dino Stengel (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Dino Stengel  na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar  Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Wajumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania.Bw.Dino Stengel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2