Mwandishi Mahiri katika Miradi ya Maendeleo Ben Mwanantala anatuletea kipindi Kipya CHA SISI NI WAZALENDO kikiwa kinaangazia utekelezaji wa Miradi yote ya Nchi nzima.
Kipindi HIKI kitaanza kurushwa hivi KARIBUNI kupitia Chanel mbalimbali kikiwemo Cha STAR TV na Chanel ya SISI NI WAZALENDO kupitia YouTube.
ILI KUNOGESHA KIPINDI HIKI Ben Mwanantala atakuwa na Mwenzake Sudi Shabani KUTOKA Mwanza wakinogesha kipindi HIKI.
KAA TAYARI EWEEE MZALENDO
MAMBO MAZURI NA MAKUBWA YANAKUJA.
HONGERA SANA MZALENDO BEN MWANANTALA
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment