RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOHUTUBIA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA | Tarimo Blog

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Spika wa Bunge Job Yustino Ndugai wakati akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kulihutubia Bunge hilo la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride La Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi nchini mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la 12 na kuelezea Muelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma

Wabunge wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi Bungeni mara baada ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kabla ya Wimbo wa Taifa haujaanza kupigwa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2