MAJALIWA AHUDHURIA FAINALI ZA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA QURAN TUKUFU | Tarimo Blog



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar es salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Abubakar Kunenge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2