MTANZANIA ANAYEKWEA MLIMA EVEREST AFIKIA MITA 7,200 | Tarimo Blog

 


RAWAN Dakik (20,) Mtanzania na kijana mdogo zaidi Afrika anayepanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kupanda katika mzunguko wa pili na kufikia mita 7,200  usawa wa bahari leo bila uhitaji wa oksijeni.

Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi maalumu za mlima Everest kabla ya kuanza mzunguko wa mwisho wa kufikia mita 8,850, Rawan amesema;

'' Leo ilikua ngumu, nimehisi oksijeni imekua chini na kupelekea kasi  upandaji wa mlima kuwa chini.'' Ameeleza Rawan ambaye pia alipimwa virusi vya Corona na kukutwa salama wakati akiendelea na upandaji wa mlima  Everest.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2