Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kikombe kwa Mmoja kati ya Washindi mbalimbali Kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Mei 01,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Mei 01,2021.
Sehemu ya Wafanyakazi waliohudhuria kilele cha Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambayo Kitaifa imefanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Wananchi na Wafanyakazi waliohudhuria kwenye Sherehe ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Mei 01,2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kwa ajili ya kulihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika leo Mei 01,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Baada ya kulihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Mei 01,2021.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment