TIC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOANI DAR ES SALAAM LEO | Tarimo Blog


Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakiwa katika sherehe za maadhimisho ya  Mei Mosi,katika uwanja wa Mkapa mkoani Dar es Salaam leo ,ambapo Kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika jijini Mwanza na Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan

Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakiwa katika Maandamano kwenye sherehe za Mei Mosi,  katika Uwanja wa Mkapa leo Mkoani Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe Aboubakar Kunenge.

 

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2