Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Rais Mstaafu Obasanjo | Tarimo Blog
NaMpekuzi-0
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Balozi Liberata Mulamula leo tarehe 3 Mei, 2021 Ikulu Chamwino.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment