Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi na ameanza ziara Rasmi ya siku 2 nchini Kenya kwa mwaliko wa Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa
KUBOFYA HAPA
Post a Comment