SHEREHE ZA MEI MOSI 2021- TUME YA UTUMISHI WA UMMA, JIJINI DAR ES SALAAM | Tarimo Blog

MFANYAKAZI BORA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA 2021: Bw. Muhidini Rajabu Mbegu (kushoto) Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Ofisi ya Rais, tume ya Utumishi wa Umma akimpongeza Mfanyakazi Bora wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2021, Bi. Nuru A. Hanti (kulia) leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Mei Mosi 2021.

FURAHA YA MEI MOSI: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakisherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani – mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

MEI MOSI 2021: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2021.

MEI MOSI 2021: Baadhi ya Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma waliohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Mei Mosi wakiwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam (leo) wakifuatilia kwa ukaribu Hotuba ya Mgeni Rasmi, Mhe. Abubakari Kunenge. (Picha na PSC)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2