Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Philip Mpango akikata utepe kuzindua andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani nchini yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akionyesha andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani nchini yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini DodomaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akibonyeza kitufe akizindua Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kampeni Kabambe ya Usafi Nchini kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi Mary Maganga andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na UNIDO wakati wa Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini DodomaMabalozi wa mazingira wakiwemo,wasanii,waandishi wa habari na waigizaji wakifutilia hotuba mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment