Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Emmanuel Raphael, akizungumza na waandishi wa habari katika banda la Sekta hiyo kwenye maonesho ya kilele cha Wiki ya Mazingira yaliyofanyika Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Emmanuel Raphael, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara, alipotembelea banda la Sekta hiyo kwenye maonesho ya kilele cha Wiki ya Mazingira yaliyofanyika Jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Emmanuel Raphael, akimkabidhi zawadi Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara, katika kwenye maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Mazingira, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi pamoja na Taasisi zake, wakati wa kilele cha maonesho ya Wiki ya Mazingira yaliyofanyika katika viwanja vya Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara, akisaini kitabu cha wageni katika banda la Sekta hiyo kwenye maonesho ya kilele cha Wiki ya Mazingira yaliyofanyika Jijini Dodoma.
PICHA NA WUU
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment